Header AD

T.I AONYESHA MKOKO WAKE WA KWANZA KUNUNUA AKIWA NA MIAKA 15.


Mkali wa kugani mashairi anayetokea ‘Dirty South’,  T.I ameonyesha ni kwa kiasi gani alivyo mpenzi wa magari ya kifahari na kuamua kuyaonyesha kwenye kipindi cha  ‘Let it Ride’.
Katika kipindi hicho, Rapa huyo alionyesha magari yake mapya na ya kisasa anayomilikik hivi sasa sambamba na gari lake la kwanza alilonunua mwaka 1985 aina ya ‘Oldsmobile Cutlass Supreme’ wakati akiwa na umri wa miaka 15 kwa dola 800 za kimarekani.

Oldsmobile Cutless Supreme.
T.I AONYESHA MKOKO WAKE WA KWANZA KUNUNUA AKIWA NA MIAKA 15. T.I AONYESHA MKOKO WAKE WA KWANZA KUNUNUA AKIWA NA MIAKA 15. Reviewed by crispaseve on 21:42 Rating: 5

No comments

Post AD