Header AD

TASWIRA ZA RAIS KIKWETE BAADA YA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOM MACHI 21, 2014


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa pongezi kwa hotuba nzuti na Makamu  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Samia  Suluhu Hassan mara baada ya kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104. 
  Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
PICHA NA IKULU



Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dkt Mohamed Ali Shein,  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Samuel Sitta na Makamu  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Suluhu Samia Hassan wakifurahia jambo mara baada ya Rais  kulihutibia Bunge hilo Ijumaa  mjini Dodoma Machi 21, 2104
TASWIRA ZA RAIS KIKWETE BAADA YA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOM MACHI 21, 2014  TASWIRA ZA RAIS KIKWETE BAADA YA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOM MACHI 21, 2014 Reviewed by crispaseve on 23:38 Rating: 5

No comments

Post AD