Header AD

WALIONG'ARA KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP @ ZANZIBAR OCEAN VIEW



DSC_0243
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Bi. Mwanaidi Salehe (kushoto) akiwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Uwezeshaji, Bi. Fatma Gharib Bilal wakati wa sherehe za uzinduzi wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious uliofanyika mwishoni mwa juma ndani ya Zanzibar Ocean View.(Picha na Zainul Mzige).
DSC_0058
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious, Bi. Umul-kulthum Ansel (kulia) akipozi na MC wa shughuli Bi. Fauziat Abood (katikati) pamoja na mjumbe mmoja wa wajumbe Mariam Yusuph Otembo.
DSC_0063
Pichani juu na chini ni wageni waalikwa wakipata Ukodak kabla ya shughuli kuanza kwenye Red carpet.
DSC_0064 DSC_0181
Makamu mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Zanzibalicious Bi. Evelyne Wilson.
WALIONG'ARA KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP @ ZANZIBAR OCEAN VIEW WALIONG'ARA KWENYE RED CARPET YA UZINDUZI WA ZANZIBALICIOUS WOMEN GROUP @ ZANZIBAR OCEAN VIEW Reviewed by crispaseve on 03:15 Rating: 5

No comments

Post AD