Header AD

WINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI


Mwenyekiti wa Makampuni yaliyo chini ya Proin Group Of Companies, Bw Johnson Lukaza akipokea cheti cha kuthaminiwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bongo Movie kama mmoja wa wamiliki wa kampuni ya usambazaji wa kazi za filamu nchini  iitwayo Proin Promotions Limited.

 Mtitu akipokea Cheti kutoka Kwa Mwenyekiti.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer, Mama Benadetha Rugemalila akiongea na waandishi wa habari wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika Ukumbi wa East 24 uliopo Mikocheni katika jengo la Arcade.
 First lady wa B Band inayoongozwa na Mwanamuziki Banana Zoro
 Wadau wakifuatilia burudani safi kutoka kwa wasanii mbalimbali waliopanda kwenye jukwaa
 Warembo wa Bongo Movie wakiingia ukumbi tayari kwa Kufurahia Miaka 3 ya Kuzaliwa kwa Bongo Movie.
 Mwenyekiti wa Bongo Movie akitoa maneno kwa wageni waalikwa pamoja na wasanii wa bongo movie na muziki nchini waliohudhuria sherehe hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa East 24.
 Keki ikikatwa kama ishara ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bongo Movie ikiwa imetimiza miaka 3

 Rich Rich akilishwa keki na Mwenyekiti.
WINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI  WINDHOEK WAFANYA KWELI SHEREHE YA KUTIMIZA MIAKA 3 YA BONGO MOVIE KATIKA UKUMBI WA EAST 24 MWISHONI MWA WIKI Reviewed by crispaseve on 03:02 Rating: 5

No comments

Post AD