JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.
Wawakilishi
wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakigawa sadaka ya
Unga,Mchele,Mafuta ya kupikia pamoja na Nyama kwa Watoto Yatima katika
maeneo mbalimbali ya Zanzibar.
Wachinjaji mbuzi kwa ajili ya Sadaka kwa Watoto mayatima wakichinjaji mbuzi huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.
Wawakilishi
wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu
mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na
Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali Zanzibar.
Wawakilishi
kutoka Taasisi ya I,H,H, ya Uturuki wakisalimiana na wanafunzi
chekechea wa Skuli ya Muzdalifat mara baada ya kushuka kwenye gari huko
Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.
Jumuiya
ya Kiislamu ya Muzdalifat(Muzdalifat Islamic Charitable)wakishirikiana
na Taasisi ya I,H,H,kutoka uturuki,wakichuna mbuzi waliokwisha kuchinjwa
kwa ajili ya sadaka kwa Watoto yatima hafla iliofanyika huko Kisauni
nje ya Mji wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI - MAELEZO ZANZIBAR.
JUMUIYA YA MUZDALIFAT NA TAASISI YA I,H,H YA UTURUKI WATOA SADAKA KWA WATOTO MAYATIMA ZANZIBAR.
Reviewed by crispaseve
on
08:09
Rating:
Post a Comment