Header AD

KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC


Frank Domayo akisaini mkataba na timu ya Azam FC. (Picha na Bin Zubeiry)
Kiungo Frank Domayo aliyekuwa akikipiga Yanga SC leo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Mchezaji huyo amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara ikiwa ni siku moja tangu mshambuliaji wa Yanga na nahodha wa timu ya Taifa ya Burundi, Didier Kavumbagu kujiunga na klabu hiyo.
KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC KIUNGO FRANK DOMAYO NAYE ATUA AZAM FC Reviewed by crispaseve on 13:23 Rating: 5

No comments

Post AD