Header AD

PRODUCER P-FUNK MAJANI AVUTA JIKO

P-Funk
Mtengenezaji nguli wa midundo ya Hip Hop na mmiliki wa studio ya Bongo Records,   Paul Matthysse  AKA ‘P-funk  Majani’ aliyekuwa zilipendwa wa muigizaji nyota Kajala Masanja, hatimaye amefunga ndoa halali ya kidini hapo jana na kuagana rasmi na maisha ukapela.
Mrs Matthysse’s turn to put a ring on my finger.” aliandika Majani kupitia ukurasa wake wa Instagram. Blogu ya Bamiza Blog inawapa hongera Mr& Mrs Matthysse’s kwa hatua nzuri waliyofikia.
Pfunky

Bwana na Bi Matthysses wakivalishana pete za ndoa
PMajani

P_ Majana 
  Parveen & Tycoon Shah ni miongoni mwa watu wa karibu wa P-Funk waliohudhuria sherehe hizo.
PRODUCER P-FUNK MAJANI AVUTA JIKO PRODUCER P-FUNK MAJANI AVUTA JIKO Reviewed by crispaseve on 06:23 Rating: 5

No comments

Post AD