Mwanamuziki
Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akiwapagawisha
mashabiki wake wa mkoa wa mtwara waliofurika katika Tamasha la Ties
& Heels lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye
ukumbi wa Makonde beach Mkoani Mtwara jana.
Mwanamuziki
Mahiri wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinum,akicheza na
madansa wake wakati wa Tamasha la Ties & Heels lililodhaminiwa na
Vodacom Tanzania na kufanyika kwenye ukumbi wa Makonde beach Mkoani
Mtwara…
DIAMOND AHAIDI KUWATENDEA HAKI KILA MWAKA WAKAZI WA KUSINI
Reviewed by crispaseve
on
03:49
Rating: 5
Post a Comment