Header AD

HATIMAYE MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏

Markia Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Elizabeth Masha kutoka Morogoro Tanzania.
 
Rais Mpya wa Kijiji cha Maisha Plus Mary Masha kutoka Nchini Kenya
 
Ndani ya Kijiji cha Maisha Plus/ Mama Shujaa wa chakula kila siku ya Alhamisi huwa panafanyika uchaguzi wa kumpata Rais mpya ambaye anachaguliwa na Washiriki wenyewe wa Kijiji cha Maisha Plus ambapo kati ya hao mmoja hupatikana na  Marais  waliopita hawapatiwi nafasi ya kugombea tena,…
HATIMAYE MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏ HATIMAYE MARKIA NA RAIS MPYA WA KIJIJI CHA MAISHA PLUS WAPATIKANA‏ Reviewed by crispaseve on 03:39 Rating: 5

No comments

Post AD