MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AWASILI MJINI BUKOBA MKOA WA KAGERA JIONI HII KUWASHA MWENGE WA UHURU KESHO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt.
Fenella Mukangara, mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa
mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika
hafla itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akivishwa Skafu na Vijana wa 'Scout' wa mkoa wa Kagera, baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya
kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja
wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi, waliompokea kwenye uwanja wa Ndege
wa mjini Bukoba leo jioni.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mhingo Rweyemamu, baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa ajili ya
kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika kwenye Uwanja
wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
mkewe Mama Zakhia Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya kabila ya Wahaya
baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa mjini Bukoba jioni hii kwa
ajili ya kuwasha Mwenge wa Uhuru kesho katika hafla itakayofanyika
kwenye Uwanja wa Kaitaba, Mkoa wa Kagera. Picha na OMR
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AWASILI MJINI BUKOBA MKOA WA KAGERA JIONI HII KUWASHA MWENGE WA UHURU KESHO
Reviewed by crispaseve
on
02:53
Rating:

Post a Comment