PICHA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:TAZAMA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa
habari kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu
wakati walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18,
2014
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma
Mei 19 , 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya
British American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19,
2014.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki,
Ernest Leroux, Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na
kati, Jerry Gilbert na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage, Teddy Mapunda.Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu
PICHA KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU:TAZAMA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA MJINI DODOMA
Reviewed by crispaseve
on
06:02
Rating:
Post a Comment