Header AD

Picha:Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga Akutana Kwa Mazungumzo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong Jijini Dar es Salaam


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi ya mchoro wa Kiutamaduni Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa Chija hapa nchini Bw. Lui Dong walipotembelea ofisi za Wizara ya habari leo jijini Dar es Salaam

Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong (Kushoto) akifananua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga alipotembelea leo ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Picha:Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga Akutana Kwa Mazungumzo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong Jijini Dar es Salaam Picha:Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga Akutana Kwa Mazungumzo na Mshauri wa Masuala ya Utamaduni kutoka Ubalozi wa China Lui Dong Jijini Dar es Salaam Reviewed by crispaseve on 11:30 Rating: 5

No comments

Post AD