Header AD

Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo



Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangilizi maalumu(ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Freddy Maro
Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo Rais Kikwete amjulia hali mama mzazi wa Zitto Kabwe leo Reviewed by crispaseve on 23:50 Rating: 5

No comments

Post AD