SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI, YAZINDUA MWONGOWA UTENDAJI KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI.
Naibu
katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Injinia Mbogo Mfutakamba (katikati)
wakati wa akizindua chapisho la Kanuni na utaratibu wa kuzingatia kwa
Mamlaka zinazohusika na usimamizi na usambazaji wa maji nchini wakati wa mkutano wa mwaka wa wataalaam na watendaji wa usimamizi wa sekta ya maji nchini.
Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Injinia Mbogo Mfutakamba (katikati) akiwaonesha wataalam na watendaji wa usimamizi wa sekta ya maji nchini chapisho la Kanuni na utaratibu wa kuzingatia kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi na usambazaji wa maji nchini wakati wa mkutano wao wa mwaka jijini Dar es salaam.
Mkuu
wa Uwezeshaji wa Maendeleo ya Miradi ya Maji kutoka shirika la GIZ
nchini Dkt. Fred Lerise akitoa ufafanuzi kwa wataalam wa maji kuhusu chapisho la Kanuni na utaratibu wa kuzingatia kwa Mamlaka zinazohusika na usimamizi na usambazaji wa maji nchini wakati
wa mkutano huo wa mafunzo wa mwaka uliowahusisha wataalam na watendaji
wa mamlaka za maji kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Mtendaji
JPIwa Shirikisho la Wasambazaji wa Maji nchini (ATAWAS) Bi. Martha
Kabuzya akizungumzia umuhimu wa chapisho hilo kwa sekta ya maji nchini
na kutoa wito kwa mamlaka zote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana ili
kuhakikisha kuwa wateja wanaowahudumia wanapata huduma bora.
Sehemu ya Wataalam nawatendaji wa Mamlaka zinazohusika na usimamizi na usambazaji wa maji nchini waliohudhuria mkutano wa mwaka wa wataalaam na watendaji wa usimamizi wa sekta ya maji nchini. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA MAJI, YAZINDUA MWONGOWA UTENDAJI KWA MAMLAKA ZA MAJI NCHINI.
Reviewed by crispaseve
on
01:09
Rating:
Post a Comment