TASWIRA NAMNA WAFANYAKAZI WA MOROGORO WALIVYOADHIMISHA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA JAMHURI 2014.

Mkuu
wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi (katikati) akiwa ameshikana mikono na
Katibu Tawala Msaidizi Miundombinu mkoa wa Morogoro, Lucas Mwaijaka
kulia na Bujaga Kagado ambaye ni Mwenyekiti wa Tucta mkoa wa Morogoro
katika sherehe hizo.
Sehemu ya wafanyakazi.
Meya wa Manispaa ya Morogoro Amir Juma Nondo (Mwenye koti) kushoto wakicheza kwaito.
Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Said Amanzi akihutubia wafanyakazi.

Hawa ndiyo wenye sherehe shirikisho la vyama vya wafanyakazi Morogoro (RAAWU) wakiongoza maandamano ya maadhimisho ya kilele cha Mei Mosi 2014 ambayo yalifanyika uwanja wa jamhuri Morogoro.
Hawa ndiyo wenye sherehe shirikisho la vyama vya wafanyakazi Morogoro (RAAWU) wakiongoza maandamano ya maadhimisho ya kilele cha Mei Mosi 2014 ambayo yalifanyika uwanja wa jamhuri Morogoro.
Cakatapili likionyesha mbwembwe wakati likipita mbele ya mgeni rasmi
Huyu ni mnyama swala aliyekaushwa aliyeletwa hifadhi ya taifa ya Mikumi
Gari
la kampuni ya tanseed international Morogoro likiwa limebeba miche ya
mahindi yenye mazao kupitia mbegu bora za tani 250 mbele ya mgeni rasmi
mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi (hayupo pichani ) wakati wa
maadhamisho ya kilele cha siku ya wafanyakazi duniani yaliyoadhimishwa
katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro.
TASWIRA NAMNA WAFANYAKAZI WA MOROGORO WALIVYOADHIMISHA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA JAMHURI 2014.
Reviewed by crispaseve
on
05:05
Rating:

Post a Comment