TIMU YA NETIBOLI YA UTUMISHI YAPONGEZWA KWA KUNYAKUA UBINGWA MEIMEOSI 2014
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O.
Kombani (Mb) akikabidhiwa kombe la ubingwa wa mpira wa Pete la Mei Mosi
2014 kutoka kwa Kapteni wa timu Elizabeth Fusi katika hafla fupi
aliyoiandaa kuwapongeza mabingwa hao iliyofanyika ofisini kwake mapema
leo
Naibu
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB
Mkwizu akimkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O. Kombani (kushoto) kuongea
na wachezaji wa ofisi yake na watumishi katika hafla fupi aliyoiandaa
kuipongeza timu ya Utumishi kwa kuwa mabingwa wa Mpira wa Pete, Mei Mosi
2014 iliyofanyika ofisini kwake mapema leo .
Wachezaji
wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, pamoja na wafanyakazi
wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa
Umma Mh. Celina O. Kombani (Mb), hayupo pichani katika hafla fupi ya
kuipongeza timu ya Mpira wa Pete kwa kunyakua kombe la Mei Mosi 2014
iliyofanyika ofisini hapo mapema leo.
Watumishi
wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakisimama kwa dakika
moja kumkumbuka mwenzao wa Ofisi ya Rais-Ikulu aliyepoteza maisha
ghafla siku ya Mei Mosi 2014.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh. Celina O.
Kombani (Mb) (katikati) akisimama pamoja na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu (kushoto ) na
Mwenyekiti wa timu ya Mpira wa Pete ya Utumishi Bw. Lumuli Mtaki
(kulia) kumkumbuka mtumishi wa Ofisi ya Rais-Ikulu aliyepoteza maisha
ghafla siku ya Mei Mosi 2014.
TIMU YA NETIBOLI YA UTUMISHI YAPONGEZWA KWA KUNYAKUA UBINGWA MEIMEOSI 2014
Reviewed by crispaseve
on
03:20
Rating:
Post a Comment