VETA YASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI KATIKA UWANJA WA UHURU HAPO JANA
Baadhi
ya magari ya VETA yakipita mbele ya Jukwaa kuu alilokuwa Amekaa Mgeni
rasmi ambae pia ni Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Jakaya
Mrisho Kikwete wakati wa maandamano ya Mgari yaliyokuwa yakiingia ndani
ya uwanja wa Uhuru Kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Mkurugenzi
Mkuu wa VETA, Eng Zebadiah Moshi (katikati) akifuatilia kwa makini
zoezi la utoaji wa zawadi kwa wafanyakazi bora wa Mwaka ambapo Mmoja wa
wafanyakazi kutoka VETA aliweza kukabishiwa Zawadi zake na Mh Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika maadhimisho ya Siku ya
Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika jana katika Uwanja wa Uhuru , Jijini
Dar Es salaam.
BAadhi
ya wafanyakazi wa Veta wakiwa katika Moja ya Jukwaa la Uwanja wa Uhuru
wakifuatilia maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa
yalifanyika Katika Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar Es Salaam jana.
Baadhi ya wadau wa Veta wakiwa katika picha ya pamoja
VETA YASHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI KATIKA UWANJA WA UHURU HAPO JANA
Reviewed by crispaseve
on
04:52
Rating:
Post a Comment