Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiongea ofisini kwake
mjini Bukoba wakati wa hafla fupi ya kupokea mchango wa Sh. 10 Milioni
kutoka kampuni ya Vodacom Tanzania kwa ajili ya kuchangia sherehe ya
uwashaji mwenge wa Uhuru kitaifa iliyofanyika Mkoani humo. Kutoka
kushoto Ni Mkuu wa Vodacom Kanda ya Ziwa Domician Mkama, Mkuu wa Vodacom
Foundation Yessaya Mwakifulefule na Meneja Uhusiano wa Nje wa Kampuni
hioyo Salum Mwalim.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akihakiki…
VODACOM YACHANGIA MWENGE WA UHURU
Reviewed by crispaseve
on
03:41
Rating: 5
Post a Comment