Header AD

WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014 KUJIUNGA NA JKT MWEZI JUNI

 
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA WATAJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI JUNI 2014, KWA UTARATIBU UTAKAOTOLEWA MWISHONI MWA MWEZI APRILI 2014 NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).
JKT
WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014 KUJIUNGA NA JKT MWEZI JUNI WAHITIMU KIDATO CHA SITA 2014 KUJIUNGA NA JKT MWEZI JUNI Reviewed by crispaseve on 10:42 Rating: 5

No comments

Post AD