HAIJAKAA poa! Staa wa sinema za Kibongo, salome
Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ na rafiki yake wa kitambo ambaye pia ni
mwigizaji, Vanitha Omary wamepishana kauli na kuchambana vilivyo msibani
kwa komediani mkongwe, Said Ngamba ‘Mzee Small’.
KILA KUKICHA WASANII WA BONGO MUVI NI SKENDO TU, ONA WENGINE HAWA WACHAMBANA MSIBANI
Reviewed by crispaseve
on
08:54
Rating: 5
Post a Comment