Header AD

PICHA ZA SHOW NILIYOFANYA MJINI SONGEA-KILI MUSIC TOUR

 Jana ilikuwa ni mwendelezo wa tou
r za music,Kili music
 tour kwa washindi wa tuzo za KTMA na baadhi y
a wasanii,kutokana na ratiba kubana
 ikiwemo MTV awards,sikuweza kushiriki show za mwanzo,hii ya Songea imekua ya kwanza,nishukuru watu wangu wa Songea kwa sapoti
 kubwa waliyoitoa kwangu na wasanii wenzangu wote
 walioshiriki ..hizi ni baadhi ya picha ilivyokuwa.



















PICHA ZA SHOW NILIYOFANYA MJINI SONGEA-KILI MUSIC TOUR PICHA ZA SHOW NILIYOFANYA MJINI SONGEA-KILI MUSIC TOUR Reviewed by crispaseve on 09:09 Rating: 5

No comments

Post AD