Header AD

PICHA ZA YANAYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE MJINI KIGOMA LEO


Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.
Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukishushwa baada ya kuwasili nyumbani mchana wa leo.
Mwili wa marehemu Shida Salum ukiandaliwa kwa ajili ya kuombewa.

Mwili wa marehemu ulipowasili nyumbani.

Viongozi mbalimbali wakishiriki kuombea mwili wa marehemu. 

Zitto Kabwe akiungana na waombolezaji kuombea mwili wa mama yake.
PICHA ZA YANAYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE MJINI KIGOMA LEO PICHA ZA YANAYOJIRI KWENYE MAZISHI YA MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE MJINI KIGOMA LEO Reviewed by crispaseve on 01:33 Rating: 5

No comments

Post AD