Header AD

Rais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote


22 (1) Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akizungumza na makamu wa Rais wa Jamhuri  ya Watu wa China Mh. Li Yuanchao ikulu jijini Dar es Salaam leo.
22 (2)Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mmiliki wa kampuni kubwa ya kuzalisha saruji DANGOTE Industries Ltd Alhaji Aliko Dangote ikulu jijini Dar es Salaam leo  (picha na Freddy Maro)
Rais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote Rais kikwete akutana na Makamu wa Rais wa China pamoja na Mmiliki wa kampuni ya Dangote Reviewed by crispaseve on 14:19 Rating: 5

No comments

Post AD