serengeti breweries yazindua kilaji kipya cha platinum
Wadau
wakifurahia uzinduzi wa kilaji kipya cha Serengeti Platinum katika
kiota cha maraha cha Escape 1 Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam
usiku wa kuamkia leo
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru (kulia) akiungana na wadau kukaribisha kilaji hicho kipya
Fashifashi za uzinduzi wa kilaji kipya. Chupa hiyo ilishushwa na helikopta
Vijana wa THT wakinogesha hafla hiyo
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL),Ephraim Mafuru na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Allan Chonjo wakisherehekea ujio wa Platinum
serengeti breweries yazindua kilaji kipya cha platinum
Reviewed by crispaseve
on
02:45
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:45
Rating:






Post a Comment