Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.
Uraibu
huo unaohusisha uvutaji wa Tumbaku yenye ladha tofauti tofauti ambayo
hutiwa ndani ya chupa kubwa na kuvutwa kwa mirija, umeshika kasi sana
Tanzania hasa miongoni mwa vijana wadogo mjini Dar Es Salaam.
Baadhi
ya watu wanaiona Shisha kama isiyokuwa na madhara ya kiafya
ikilinganishwa na uvutaji wa Sigara. Lakini wataalamu wanaamini kuwa
uvutaji wa Shisha kwa muda wa saa moja ni sawa na kuvuta sigara miamoja.
Madaktari
walitoa onyo kuhusu uvutaji wa Shisha wanakabiliwa na tisho la kuugua
Saratani sawa na hatari inayowakabili wavitaji wa sigara.
Serikali ya Tanzania imepiga marufuku uvutaji wa Shisha.
Reviewed by crispaseve
on
23:22
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
23:22
Rating:


Post a Comment