SOMA HOTUBA YA KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI Y. SEFUE AKIFUNGA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 23 JUNE, 2014

Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue
---
HOTUBA YA KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI Y. SEFUE AKIFUNGA
SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 23 JUNE, 2014
__________________________

Bwana George Yambesi, Katibu Mkuu,
Ofisi ya Rais, UTUMISHI;
Ndugu Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu
Wakuu Mliopo;
Ndugu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es
Salaam;
Wakuu wa Taasisi za Umma;
Ndugu Washiriki wa Maonyesho ya Wiki
ya Utumishi Wa Umma;
Wageni Waalikwa;
Ndugu Waandishi wa Habari;
Mabibi na Mabwana,
Habari za Mchana!
Napenda nianze kwa kukushukuruni kwa kunipa nafasi hii ya kuwa Mgeni Rasmi kwenye Kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma nchini kwa mwaka 2014.
SOMA HOTUBA YA KATIBU MKUU KIONGOZI, BALOZI OMBENI Y. SEFUE AKIFUNGA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 23 JUNE, 2014
Reviewed by crispaseve
on
00:56
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
00:56
Rating:

Post a Comment