Wafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar
Makamu
wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd
(kulia) akipokea msaada wa sh milioni mbili kutoka kwa Meneja wa NBC
tawi la Zanzibar, Rajab Maalim (kushoto) zilizochangwa na wafanyakazi wa
benki hiyo kwa ajili ya timu ya watoto wenye ulemavu wa akili
watakaoshiriki michezo ya olimpiki maalumu inayotarajiwa kuanza Juni 6
mwaka huu Wilayani Kibaha katika Mkoa wa Pwani. makabidhiano yalifanyika
kwenye ofisi za makamu wa rais, Vuga, Zanzibar jana
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, :
Balozi Seif Ali Idd akikabidhi fedha zilizochangwa na wafanyakazi wa
NBC nchini pamoja na yeye mwenyewe kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati
Maalumu ya Olimpiki Zanzibar, Saada Hamad katika hafla hiyo mjini
Zanzibar.
Baadhi ya watoto wenye ulemavu wa akili watakaoshiriki michuano hiyo wakiwa katika hafla hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya NBC waipiga jeki timu ya watoto wenye ulemavu wa akili Zanzibar
Reviewed by crispaseve
on
02:41
Rating:
Reviewed by crispaseve
on
02:41
Rating:




Post a Comment