Dismas Lyassa kuwania Urais COTWU kanda ya Dar es salaam

Mhariri
wa masuala ya Biashara wa gazeti la Mwananchi na Mwenyekiti wa Chama
cha Wafanyakazi wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania (COTWU-T) Tawi la
Mwananchi Communications Limited, Dismas Lyassa (kulia) akirudisha fomu
ya kugombea Urais wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) kwa
Katibu Mkuu wa COTWU Kanda ya Dar es Salaam, Musa Mwakalinga, jana
ofisini kwake (kwa Mwakalinga). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika
Agosti 4-5, mwaka huu mkoani Dodoma.
Picha na Khamis Tembo.
Dismas Lyassa kuwania Urais COTWU kanda ya Dar es salaam
Reviewed by crispaseve
on
10:28
Rating:

Post a Comment