HOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU WENGINE WAKITAMANI WIKI IJAYO ISIFIKE.
Baadhi
ya washiriki wa Fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT)
wakiwa mbele ya Majaji tayari kwa kupewa maoni yao na hatimaye kutaja
watakaotoka chomwa na jua la utosi kwa Wiki hii. Kutoka Kulia ni Tishi
Abdallah, Katikati ni Mtawa Kapalata na Kushoto ni Joshua Wambura.
Anneth
Peter (katikati) akiwa mwenye huzuni kubwa kutokana na Mshiriki mwenza
kutoka kanda ya Kaskazini Kareb John (hayupo pichani) kutoka kwenye
shindano mara baada ya kuchomwa na jua la utosi.
Washiriki
wawili waliondolewa katika Shindano kwa wiki hii wakiwa mbele ya Jukwaa
mara baada ya kutangaziwa kushindwa kuendelea kutokana na kuwa na idadi
chache ya kura kutoka kwa watazamaji.Wa kwanza kushoto ni Kareb John na
Malima Deogratius ambao wameaga mashindano
Kareb John na Malima Deogratius mara baada ya kutangaziwa kuyaaga mashindano..
HOFU YATANDA KWA WASHIRIKI WA SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS, HUKU WENGINE WAKITAMANI WIKI IJAYO ISIFIKE.
Reviewed by crispaseve
on
11:47
Rating:
Post a Comment