Header AD

MR NICE AFUNGUKA KUHUSU UTAJIRI WAKE WA BILIONI 1.5 NA JINSI ULIVYOTOWEKA GHAFLA


Mr.Nice akifunguka kuhusu utajiri wake ulivyotoweka ghafla!. Katika hali yakushangaza, Lucas Mkenda au maarufu kama Mr.Nice, finaly afunguka kuhusu utajiri wake na sababu za kushuka kwake kimuziki, katika moja ya interview.
Mr.Nice alidai kuwa hajui ni nini haswa kilichotokea ila yote hayo ni mipango tu ya Mungu. Mr.nice alizidi kufunguka na kusema kuwa, alikuwa na jumla ya zaidi ya shilingi bilioni 1.5 zote zikiwa katika account mbalimbali hapa nchini, na hela zote hizo zimetoweka katika kipindi cha muda mfupi bila yeye kujua zimetumikaje.
MR NICE AFUNGUKA KUHUSU UTAJIRI WAKE WA BILIONI 1.5 NA JINSI ULIVYOTOWEKA GHAFLA MR NICE AFUNGUKA KUHUSU UTAJIRI WAKE WA BILIONI 1.5 NA JINSI ULIVYOTOWEKA GHAFLA Reviewed by crispaseve on 09:05 Rating: 5

No comments

Post AD