MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Mimi
Reppyson Ishababaki na mke wangu Elida Fundi. Tunapenda kutoa taarifa ya
kupotea kwa mtoto wetu kipenzi Meryline Reppyson. Ameibiwa jana jioni
na mtu tusiyemfahamu na hatujampata mpaka sasa hivi.
Tunawaomba
Watanzania na watu wote mtusaidie kumtafuta mtoto wetu. Maneno
yanayosemwa kwamba kachukuliwa na baba yake si ya kweli kwani mimi ndiye
baba yake mzazi na tunaishi pamoja na mke wangu.
Asanteni sana kwa msaada wenu na Mungu awabariki.
MTOTO ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE
Reviewed by crispaseve
on
09:38
Rating:

Post a Comment