Header AD

BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAUA WATANO ARUSHA

Ajali iliyohusisha basi la HOOD na daladala maeneo ya Usa River mkoani Arusha muda huu...Ambapo dereva wa dala dala kafariki hapo hapo

Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye
BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAUA WATANO ARUSHA BREAKING NEWS: BASI LA HOOD LAUA WATANO ARUSHA Reviewed by crispaseve on 05:05 Rating: 5

No comments

Post AD