Header AD

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha vikali uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014).

 
 Sehemu ya Taarifas inayosadikiwa kuwa ni ya uvumi iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo
 MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga
 Redd’s Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu
-
 
MKURUGENZI wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu  amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014). Uvumi wa Sitti kuvua taji hilo umetokana na taarifa zilizotolewa kupitia akaunti ya Facebook mrembo huyo anayelalamikiwa kughushi vyeti vya kuzaliwa, akisema kutokana na vidole vya lawama anavyooshewa kiasi cha kuosa amani, amelazimika kuvua taji ili awe huru. 

“Habari za jioni Watanzania wenzangu, kutokana na kuwa nimekuwa nikisemwa sana, maneno mengi yasio na tija juu ya hili taji la U-Miss anzania 2014,,mpaka kupelekea nisiwe na amani na uhuru ndani ya nchi yangu Tanzania, kwa roho safi nimeamua mwenyewe kujivua taji hilo na kuacha wanaye ona anastahili taji hili apewe ili niendelee na maisha yangu kwa amani ,isiwe shida sana kwani sitegemei taji hili ili kuishi!!” imeandikwa katika ukurasa huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha vikali uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014). Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga, amekanusha vikali uvumi uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii mapema leo, kuwa Sitti Abbas Mtemvu amelazimika kuvua taji la Uremo la Tanzania (Redd’s Miss Tanzania 2014). Reviewed by crispaseve on 09:13 Rating: 5

No comments

Post AD