Header AD

MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA


Mwanamuziki Mkongwe kutoka bendi ya muziki wa dansi ya Twanga Pepeta,pichani kulia enzi za uhai wake akiwa kazini,ajulikanae kwa jina la Amigolas amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo,katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar,Taarifa za awali ambazo chumba cha habari cha Globu ya Jamii imezipata kutoka kwa vyanzo vya kuwaminika,zinaeleza kuwa Marehemu Amigolas alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya Moyo mpaka kufariki kwake.Tutaendelea kupeana taarifa zaidi kuhusiana na msiba huu kwa kadiri zitakavyokuwa zikiingia.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi-Amin
MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA MWANAMUZIKI MKONGWE WA TWANGA PEPETA,AMIGOLAS AFARIKI DUNIA Reviewed by crispaseve on 05:25 Rating: 5

No comments

Post AD