Mamia wamzika Shem Karenga
Baadhi ya wadau wa muziki wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa
mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Tabora Jazz, marehemu Shem Karenga wakati wa
maziko yake yaliofanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam. (Picha na
Francis Dande)
Ras Inocent Nganyagwa akitafakari jambo wakati wa maziko ya mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi marehemu Shem Karenga.
Hassan
Rehan Bichuka (kulia) akiwa na wanamuziki wenzake wa zamani
wakibadilishana mawazo na Ankal walipokuwana katika maziko ya
mwanamuziki nguli wa bendi ya Tabora Jazz, marehemu Shem Karenga.
Ankal akiteta jambo na mwanamuziki mkongwe wa Band ya Sininde Ngoma ya Ukae.
Mwili wa marehemu Shema Karenga ukiwasili katika makaburini ya Kisutu.
Mamia ya waombolezaji wakielekea makaburini.
Mwanamuziki
mkongwe Kassim Mapili (katikati) akiwa na wadau wa muziki kulia ni
mwanamuziki Tshimanga Asosa na kushoto ni mdau wa muziki Ankal Michuzi.
Mamia wamzika Shem Karenga
Reviewed by crispaseve
on
00:22
Rating:
Post a Comment