MBUNIFU WA MAVAZI,MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KATIKA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'
Mbunifu
wa Mavazi nchini Manju Msita kulia akizungumza na waandishi wa habari
juu ya ushiriki wake katika Mozambique Fashion Week yatakayoanza desemba
10 mpaka 14 ambapo atakuwa akipeperusha bendera ya taifa
|
Mwanamitindo
Matukio Chuma kulia akizungumza na wahandishi wa habari wakati wa
kutangaza upeperushwaji wa bendera ya tanzania katika nchi ya
mozambique fashion week ambayo mbunifu wa mavazi Manju Msita atashiriki
na kupeperurusha bendera ya Tanzania kushoto ni mwanamitindo Vivian
Williams ambaye anafanya shughuli zake za uwanamitindo nchini
Barcelona,Spain.
MBUNIFU WA MAVAZI,MANJU MSITA KUPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA KATIKA MOZAMBIQUE FASHION WEEK 'MFW-2014'
Reviewed by crispaseve
on
03:00
Rating:
Post a Comment