WAFANYAKAZI WA TBL WALIOPIMWA VIRUSI VYA UKIMWI WAZAWADIWA
Mgeni
rasmi Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Collins Constantine, akishishirikiana na wafanyakazi wenzake wa
TBL kuwasha mishumaa kuwakumbuka wenzao waliopoteza maisha kwa ugonjwa
wa Ukimwi.
Mgeni Ofisa Uendeshaji, Rasirimali watu wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL), Collins Constantine akikabidhi zawadi ya jiko la gesi kwa
Christopher Mchome, baada ya kushinda bahati nasibu ya wafanyakazi
waliopima afya zao, wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi, Dar es
Salaam juzi.
Mchome akisaidiwa na wenzake kubeba jiko baada ya kushinda bahati nasibu ya wafanyakazi wa TBL.
WAFANYAKAZI WA TBL WALIOPIMWA VIRUSI VYA UKIMWI WAZAWADIWA
Reviewed by crispaseve
on
07:10
Rating:
Post a Comment