TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania
International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace (kulia)
akimkabidhi zawadi kwa timu kapteni wa timu ya Operations ambao
waliibuka kidedea dhidi ya Workshop kwa kunyakua makombe yote katika
michezo mbali mbali iliyochezwa katika Bonanza la Siku ya Familia
iliyofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya Kiota cha Kunduchi Wet and Wild
jijini Dar es Salaam. Lengo la Siku hiyo ilikuwa ni kuwakutanisha
wafanyakazi na familia zao zifurahi kwa pamoja.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Ushushaji Mizigo Bandarini - Tanzania
International Container Terminal (Ticts), Paul Wallace akifafanua jambo
mbele ya waandishi wa habari.
TICTS FAMILY DAY YANOGA JIJINI DAR
Reviewed by crispaseve
on
04:55
Rating:
Post a Comment