EX WA NICK MINAJ AFUNGUKA SABABU ZA KUVUNJIKA KWA PENZI LAO

Nicki Minaj na Ex Wake Safaree Samuels
Aliyekuwa mpenzi wa Rapa Nicki Minaj, Safare Samuels
amefunguka mambo mengi kuhusiana na kuvunjika kwa mahusiano yao ya
kimapenzi yaliyodumu kwa takribani miaka 11 katika interview
aliyofanyiwa na mtangazaji Angie Martinez wa Power 105.1 kwenye kipindi
cha The Breakfast Club.
Safaree amesema dharau imechangia kwa kiasi kikubwa kwenda
mrama kwa penzi lao ikiwemo Nicki Minaj kumchukulia kama kijakazi na si
kama mpenzi wake.
“It just got to the point where the respect was
gone. Everyone around her works for her. So it got to the point where I
was like, ‘I’m your man. I’m the one you go to sleep with every night”, alisema Safaree na kuongeza, ”I’m who you wake up with every morning.’ It got to the point where I was being treated like an employee instead of her man”.
Aidha Safaree amesema kwamba alikuwa akipata wakati mgumu
pale alipokuwa akimshuhudia laaziz wake huyo akifanya mambo ya chumbani
na wanamuziki wenzake mbele ya macho yake.
“As far as the ‘Only’ song, that’s something that people on the
outside take more disrespect than I did. I don’t know maybe I’ve been
dealing with it for so long that it kind of seemed like the norm to me. I
got numb to it. I could probably feel a way about it and get over it
and it is what it is and I just keep on moving.”
Pia amedai alikuwa akimsaidia kumuandikia mashairi diva huyo
wa Young Money katika nyimbo zake ingawa Minaj mwenyewe amewahi
kunukuliwa akikanusha kuandikiwa mashairi.
”Don’t say I have no talent because every time it came to writing raps and doing music, it was me her and the beat. She doesn’t do it by herself. It’s me and her. So it’s like, don’t discredit what I’ve done for you. That’s weak. I would never do that to her”. alisema Safaree
Kwa kumalizia Safaree amesema hajisikii vibaya kuona Nicki
Minaj akiwa mikononi mwa mwanaume mwingine kwa sababu ni yeye ndiye
mwenye maamuzi ya kuchagua mtu wa kuwa nae kimapenzi baada ya kuwepo kwa
tetesi za uhusiano kati yake na Rapa Meek Mill.
“If that’s who she decides to move on with then
it is what it is. I’m not mad. I’m not bitter because if I wanted to
make it work, I could have made it work.”
EX WA NICK MINAJ AFUNGUKA SABABU ZA KUVUNJIKA KWA PENZI LAO
Reviewed by crispaseve
on
04:08
Rating:
Post a Comment