D13

Diamond Platnumz ameuanza vizuri mwaka mpya baada ya kuwaangushia bonge la shoo wakazi wa Rwanda usiku wa Jan 01 waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Amahoro uliopo jijini Kigali nchini humo ikiwa ni moja ya ziara yake kimuziki
Diamond aliyekuwa ameongoza na mpenzi wake Zari Katika shoo hiyo aliamua kuwasapraiz mashabiki kwa kulipandisha kundi la Mkubwa na wanae ambao wanaunda bendi ya Yamoto na kupelekea shangwe kuzidi kuwa kubwa zaidi.  Tazama picha zaidi hapo chini
D13
Bango kubwa likiwa na picha ya Diamond nje ya uwanja wa ndege jijini Kigali nchini Rwanda
Zari
Mpenzi wa Diamond, zari akipigwa make-up kabla ya safari ya kuelekea uwanjani
D11
Diamond na Zari wakitoka nje ya hoteli ya Serena kuelekea uwanjani
D14
Diamond na Zari baada ya kutua uwanjani
D16
Diamond na Zari wakitaniana
Diamond na Zari
Diamond na Zari katika pozi
D5
Wacheza shoo wa Diamond wakipiga dua
D10
Wapambe wa Diamond na Zari katika pozi
D17
Diamond(wa katikati) akiwa na memba wa Yamoto Band, Aslay Isihaka na Maromboso
D18
Diamond akisalimiana na mashabiki wakati akielekea jukwaani
D7
Shabiki wa kike akiwa amemkumbatia Diamond jukwaani
D1
Hakutaka kumwachia
D2
Shabiki mwingine wa kike akicheza sambamba na Diamond
D3
Tatizo Nyotaaaa!!
D8
Diamond akicheza na wacheza shoo wake
D20
Diamond na mcheza shoo wake wakifanya yao jukwaani
D9
Diamond akiimba pamoja na shabiki
Diamond Platnumz
Diamond akiimba na mashabiki
D19
Diamond akiimba kwa hisia
D22
Umati wa watu uliofurika kwenye uwanja wa Amahoro
D21
Diamond akiwapa ladha mashabiki