PICHA ZA KAJALA ZISIZO NA MAADILI ZIMEVUJA ....ANGALIA HAPA
Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la
Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu baadhi ya
mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha
hizi alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu
amevaa nguo ambazo zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba
moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache wakisema kuwa hazina
maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga
wakati akiwa ufukweni nasio yupo mitaani anaembea.
“Niko beach jamani siko posta natembea maana mna maneno ya chini chini humu” Kajala alisistiza.
Picha hizi alizitupia juzi, siku ya sikukuu ya mwaka mpya. Jionee picha hizo hapo juu kiwasha tuambie umeziona vipiii
PICHA ZA KAJALA ZISIZO NA MAADILI ZIMEVUJA ....ANGALIA HAPA
Reviewed by crispaseve
on
03:45
Rating:
Post a Comment