Header AD

Airtel yamtangaza Bingwa wa Airtel Trace Music, yamzawadia milioni 50TZS

 Meneja Masoko wa Airtel Aneth Muga (kushoto) akimkabidhi
mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga hundi ya mfano
yenye dhamani ya sh. 50mil baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya
Airtel Trace Music Stars, pia atapata fursa ya kwenda kuiwakilisha
nchi yetu katika mashindano ya Airtel Trace Stars ya Afrika
yatakayofanyika Mjini Nairobi Kenya mwezi machi,  anaeshuhudia ni
Afisa Uhusiano na matukio  wa Airtel Dangio Kaniki.
  Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga akifurahia
zawadi yake baada ya kuibuka mshindi wa mashindano hayo yaliyofanyika
hivi karibuni. Mshindi huyo pia atapata fursa ya kwenda kuiwakilisha
Tanzania katika mashindano ya Airtel Trace Stars ya Afrika
yatakayofanyika Mjini Nairobi Kenya mwezi machi,
Mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga (kati)
akiwaimbia waandishi wa Habari (hawapo pichani) katika hafla ya
makabidhiano  ya zawadi yake hundi ya sh. Milioni 50 kushoto yake ni
Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki (kushoto)  na Meneja
Masoko wa Airtel Aneth Muga (kulia).
Airtel yamtangaza Bingwa wa Airtel Trace Music, yamzawadia milioni 50TZS Airtel yamtangaza Bingwa wa Airtel Trace Music, yamzawadia milioni 50TZS Reviewed by crispaseve on 06:13 Rating: 5

No comments

Post AD