Sad
News, The Artist Mez B from Wanachemba East Zoo Dodoma has Pased away
two hours Ago. The family member has cornfirmed that Mez B pased away
today at home Dodoma.. May his Soul Rest In Internal Peace Amen. We 'll
always remember you for wat you did in this Music Industry especialy in
Bongo Fleva... Taarifa mbaya.. Msanii Mez B kutoka kundi la wanachemba
la East Zoo Dodoma amefariki Dunia Masaa mawili yaliyopita huko nyumbani
kwao Dodoma. Mmoja wa wanafamilia amethibitisha kufariki kwa Mez B
aliyekuwa akiugua huko nyumbani kwao Dodoma... Mungu Ailaze Roho ya
Maehemu mahali pema peponi Amina. Tutakukumbuka daima, hasa kwa kile
ulichokifanya katika tasnia ya muziki wetu, hasa Bongo Fleva...
The Artist Mez B from Wanachemba East Zoo Dodoma has Pased away 10 hours Ago
Reviewed by crispaseve
on
10:32
Rating: 5
Post a Comment