Header AD

exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati

Kikosi cha Timu ya Benki ya Exim Tawi la Babati katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wa kirafiki kuanza kati ya timu hiyo ya Benki na timu ya Babati Citizens FC wakati wa Bonanza la michezo lililofanyika mwishoni mwa wiki Babati. Bonanza hilo liliandaliwa na ofisi ya mkuu wa mkoa mkoani Manyara lilikiwa na lengo la kukuza michezo mkoani hapo.
exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati exim bank (Tawi la Babati) yashiriki bonanza la michezo Babati Reviewed by crispaseve on 00:34 Rating: 5

No comments

Post AD