mafunzo ya siku tano ya kuandika habari za mitandao ya jamii fanyika Dodoma hotel.
Mratibu
wa mradi wa ruzuku kwa waandishi wa habari wa mfuko wa waandishi wa
habari nchini (TMF) Danstan Kamanzi akizungumza jana mjini Dodoma na
kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti
ya mnyonge) kwenye mafunzo ya siku tano ya kuandika habari za mitandao
ya jamii yanayofanyika Dodoma hotel.
Miongoni
mwa waandishi wa habari 17 wa kikundi cha waandishi wa habari
wanaoandika habari za wasiosikika (Sauti ya mnyonge) wakiwa mjini Dodoma
kwenye mafunzo ya siku tano ya kujengewa uwezo wa kuandika habari kwa
njia ya mitandoa ya kijamii (social media) yaliyoanza jana.
Mratibu
wa mradi wa ruzuku kwa wanaandishi wa habari wa mfuko wa waandishi wa
habari nchini (TMF) Danstan Kamanzi (kushoto) akimkabidhi mjini Dodoma,
Mwenyekiti wa kikundi cha waandishi wa habari wanaoandika habari za
wasiosikika (Sauti ya mnyonge) Ramadhan Msangi moja kati ya kompyuta
ndogo (tablet) jana kwa ajili ya kufanya shughuli za kikundi hicho
mafunzo ya siku tano ya kuandika habari za mitandao ya jamii fanyika Dodoma hotel.
Reviewed by crispaseve
on
01:21
Rating:
Post a Comment