UMOJA WA VYAMA VYA WALIMU WA NCHI ZA AFR/MASHARIKI WAFANYA MKUTANO WA SIKU 4 ZANZIBAR
Mratibu Msaidizi wa Utafiti na Mafunzo wa Umoja wa Vyama vya Walimu wa Nchi
za
Afrika Mashariki (FEATU) Bi. Lucy Njura Barimbui akiwasilisha mpango
kazi wa miaka 5 ya Mtandao wa Wanawake wa Vyama vya Walimu wa Afrika
Mashariki (WNEA) katika Mkutano wa siku 4 uliofanyika Hoteli ya
Executive iliyopo Kilimani Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa chama cha walimu Zanzibar (ZATU) Mussa Omar Tafurwa
akichangia kitu katika Mkutano wa mpango kazi wa miaka 5 wa Mtandao wa wanawake wa Vyama vya walimu wa Afr. Mashariki.
Naibu
Katibu Mkuu wa chama cha walimu Zanzibar (ZATU) Salim Ali Salim
akifunga Mkutano wa siku 4 wa Umoja wa vyama vya Walimu wa Nchi za
Afrika Mashariki (FEATU) uliofanyika Zanzibar.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimba wimbo wa mshikamo mara baada
ya kufungwa kwa Mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa chama cha walimu Zanzibar Mussa Omar Tafurwa (wakatikati)
katika picha ya pamoja ya wajumbe wa Mkutano wa Umoja wa vyama vya
Walimu wa Nchi za Afrika Mashariki (FEATU).Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
UMOJA WA VYAMA VYA WALIMU WA NCHI ZA AFR/MASHARIKI WAFANYA MKUTANO WA SIKU 4 ZANZIBAR
Reviewed by crispaseve
on
01:02
Rating:
Post a Comment