WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, IKULU NA UTAWALA BORA DKT. MWINYIHAJI MAKAME MGENI RASMIN TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015.




Meneja wa Zenji Entertainment Seif Moh’d (kushoto) akimkabidhi tunzo Mwanamuziki Bora wa kiume wa tarabu asili Cholo Ganun.
Mwakilishi
kutoka Baraza la Sanaa Zanzibar Maulid Madam akimkabidhi tunzo ya
Mwanamuziki bora wa kike wa Tarab asili Bi. Rukia Ramadhan katika hafla
iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.


Meneja
wa Fedha Z.M.C.L Bi. Saide Moh’d akimkabidhi tunzo Mwanamuziki bora wa
mwaka wa kizazi kipya Riko Singo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.


Baadhi
ya wageni waalikwa na wadau mbali mbali wakishuhudia wasanii wa
Zanzibar wakipewa tunzo katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Salama Holl
Bwani Mjini Zanzibar.
'

Wasanii wa kikundi cha Smart Comed Zanzibar wakitoa Burudani.

Msani Mr Blue akitumbuiza katika Tamasha la Wasanii wa Zanzibar.

Mgeni
Rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikiulu na Utawala Bora Dkt.
Mwinyihaji Makame akimkabidhi tunzo ya muandaaji bora wa Tamasha
Zanzibar Music Award mwaka 2015 Mbunge wa Jimbo la Uzini na Mkurugenzi
wa Redio ya Zenji FM Mohamed Seif Khatib katika hafla iliyofanyika
ukumbi wa Salama Holl Bwani Mjini Zanzibar.

Mgeni
Rasmin Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikiulu na Utawala Bora Dkt.
Mwinyihaji Makame katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya
Zanzibar Midia Corporation LTD. Picha na Makame Mshenga wa Maelezo
Zanzibar.
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, IKULU NA UTAWALA BORA DKT. MWINYIHAJI MAKAME MGENI RASMIN TUZO ZA WASANII BORA WA MUZIKI WA ZANZIBAR MWAKA 2015.
Reviewed by crispaseve
on
00:31
Rating:
Post a Comment