SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO
Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akiwa na Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta wakati wa uzinduzi wa mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic mkoa wa Morogoro |
Meneja
miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekezaKaimu Mkurugenzi wa
Manispaa ya Morogoro Bakari Sagini jinsi ya kutumia
mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro.

Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta kushoto akimwelekeza Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele jinsi ya kutumia
mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta
mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa Manspaa ya Morogoro
Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko wa kampuni ya Selcom, Juma Mgori katikati akitoa mahelezo ya mashine ya ukusanyaji wa kodi kwa njia za kielektronic wakati wa uzinduzi rasmi wautumiaji wa mashine hizo kwa mkoa wa Morogoro kulia ni Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele na Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta
SELCOM WAZINDUA UKUSANYAJI WA KODI KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC MANSIPAA YA MOROGORO
Reviewed by crispaseve
on
10:11
Rating:
Post a Comment