Wizara ya Afya yaridhishwa na viwango TBL
Mshauri wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Phocus Lasway akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe (kulia) wakati wa ziara ya Kiwanda cha Dar es Salaam cha
TBL kilichopo Ilala. Kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama na Chakula wa Mamlaka ya
Chakula, Dawa na Vipodozi, Raymond Wisenge. Wizara ilionesha kuridhishwa na
viwango vinavyozingatiwa na TBL katika uzalishaji wake.
Meneja Mdhibiti Viwango wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Conchesta
Ngaiza (kulia) akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe wakati wa ziara ya Kiwanda cha Dar es Salaam cha
TBL kilichopo Ilala. Kushoto ni Mkurugenzi wa Usalama na Chakula wa Mamlaka ya
Chakula, Dawa na Vipodozi, Raymond Wisenge. Wizara ilionesha kuridhishwa na
viwango vinavyozingatiwa na TBL katika uzalishaji wake.
Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) Calvin Martin akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Wizara ya Afya
na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe wakati wa ziara ya Kiwanda cha Dar
es Salaam cha TBL kilichopo Ilala. Wizara ilionesha kuridhishwa na viwango
vinavyozingatiwa na TBL katika uzalishaji wake.
Meneja wa Kiwanda cha Dar es Salaam cha Kampuni ya Bia
Tanzania (TBL) Calvin Martin (kulia) akimuelezea jambo Naibu Waziri wa
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Kebwe Stephen Kebwe. Wizara ilionesha
kuridhishwa na viwango vinavyozingatiwa na TBL katika uzalishaji wake.
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii Dk. Kebwe
Stephen Kebwe (mwenye koti) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
mbalimbali a wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na watumishi
wa wizara hiyo baada ya ziara ya Kiwanda cha Dar es Salaam cha
TBL kilichopo Ilala. Wizara ilionesha kuridhishwa na viwango
vinavyozingatiwa
na TBL katika uzalishaji wake.
Wizara ya Afya yaridhishwa na viwango TBL
Reviewed by crispaseve
on
08:44
Rating:
Post a Comment