BAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI

Hamisi Shaban ‘Bab Tale’.
MENEJA wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, amefiwa na baba yake mzazi leo.Msiba huo umetokea ikiwa ni mwezi mmoja umepita tangu Bab Tale afiwe na mdogo wake ambaye alikuwa mwanzilishi na meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale.
BAB TALE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI
Reviewed by crispaseve
on
08:07
Rating:
Post a Comment